HOME »
» HIVI NDIVYO MKUU WA POLISI WILAYA (OCD) IRINGA ALIVYO APATA AJALI
 |
Askari
walilikuwa wakielekea katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM
kata ya Nduli Iringa mjini wakitazama gari ambalo alikuwa
akiendesha OCD Iringa lililopata ajali majira ya saa 10 jioni Jana
jumapili japo hakuna aliyepoteza maisha ktk ajali hii iliyotokea
kona la Mgongo barabara ya Iringa-Dodoma |
 |
wasomi
wa chuo kikuu cha Iringa wakitazama ajali hiyo ambayo dereva wake
OCD Iringa alinusurika kifo na kuumia mkono wake kiasi |
0 comments:
Post a Comment