Bwana Haruni Shabani, mfanya biashara maarufu wa maembe anayefanya biashara hiyo katika eneo la soko kuu, manispaa ya Iringa akiwa katika genge la biashara yake.
baadhi ya wafanya biashara wakipanga maembe madogo madogo katika mafungu, maembe madogo yanauzwa kwa fungu moja sh 500/= na embe moja kubwa ni sh 700/=.
imeandikwa na Riziki Mashaka.
0 comments:
Post a Comment