Kauli ya Kamanda Mayunga imekuja siku chache baada ya Kaimu Meneja wa TRA Kagera, Magare Muria, kuwatuhumu polisi kuwalinda wafanyabiashara hao wanaotokea Uganda kupitia njia ya maji ya Ziwa Victoria.
Akizungumza na Tanzania Daima kwa njia ya simu, Kamanda Mayunga
alisema wafanyabiashara hao wanapita kwenye geti la Mtukula ambapo
watumishi wa mamlaka hiyo wapo kwa ajili ya kukagua na kutoza kodi
mizigo inayoingizwa nchini.
Kamanda huyo alikiri kuwepo kwa askari wasio waaminifu ambao hawawezi kulichafua Jeshi la Polisi hivyo aliahidi kupambana nao huku akisisitiza kwamba si kweli kuwa jeshi hilo linakwamisha utendaji wa TRA kama ilivyotuhumiwa awali.
"Suala la pombe kali aina ya viroba kama tulivyoongea nimefanya uchunguzi nimegundua vinaingia kupitia Mtukula eneo ambalo TRA wapo 'responsible' kukusanya kodi baada ya hapo kuna beria ya polisi na Tanroads Misenyi.
"Cha kushangaza TRA wanawakimbiza wafanyabiashara waliovusha viroba huku Karagwe... hapo lazima kutilia shaka kwamba wanapitishaje mizigo yao kama hawashirikiani na maofisa wa mamlaka hiyo?" alihoji Kamanda Mayunga.
Kamanda huyo alisema wafanyabiashara wanaoingiza viroba kwa wingi hawapiti njia za panya, badala yake inaaminika kwamba wanavusha kwa njia halali kwa kuwahonga maofisa wanaokuwa kwenye vizuizi.
"Hii ni vita nyepesi tukishirikiana vizuri na TRA ninakuahidi dada Irene tutalimaliza tatizo hiKAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kagera, George Mayunga, amesema watumishi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) mkoani hapa wanashirikiana na wafanyabiashara wa pombe kali aina ya viroba wanaokwepa kodi.
Kauli ya Kamanda Mayunga imekuja siku chache baada ya Kaimu Meneja wa TRA Kagera, Magare Muria, kuwatuhumu polisi kuwalinda wafanyabiashara hao wanaotokea Uganda kupitia njia ya maji ya Ziwa Victoria.
Akizungumza na Tanzania Daima kwa njia ya simu, Kamanda Mayunga alisema wafanyabiashara hao wanapita kwenye geti la Mtukula ambapo watumishi wa mamlaka hiyo wapo kwa ajili ya kukagua na kutoza kodi mizigo inayoingizwa nchini.

"Hii ni vita nyepesi tukishirikiana vizuri na TRA ninakuahidi dada Irene tutalimaliza tatizo hili, tutawakamata wanaokwepa kodi, wanaotoa na kupokea rushwa.

CHANZO:TANZANIA DAIMA
0 comments:
Post a Comment