>>JUMATANO: BILBAO v ATLETICO, BARCA v LEVANTE!
Real Madrid waliifunga Espanyol Bao 1-0,
kwa Bao la Karim Benzema, Wiki iliyopita katika Mechi ya Kwanza huko
Estadi Cornella-El Prat.
Mshindi wa Mechi hii atacheza Nusu
Fainali na Mshindi wa Mechi ya Jumatano kati ya Athletic de Bilbao na
Atletico Madrid, ambao ndio Mabingwa Watetezi wa Copa del Rey, huku
Atletico wakiwa mbele kwa Bao 1-0 baada ya kushinda Mechi ya Kwanza.
Mechi nyingine ya Jumatano ni huko Nou Camp, Barcelona watakaporudiana na Levante ambayo ilichapwa Nyumbani kwao Bao 4-1.
Mechi ya mwisho ya Marudiano ya Robo
Fainali ni Alhamisi kati ya Real Racing Santander na Real Sociedad ambao
wako mbele kwa Bao 3-1.
COPA del REY
RATIBA:
[Saa za Bongo]
ROBO FAINALI:
MARUDIANO
[Kwenye Mabano Matokeo Mechi ya Kwanza]
Jumanne Januari 28
23:00 Real Madrid v RCD Espanyol [1-0]
Jumatano Januari 29
22:00 Athletic de Bilbao v Atlético de Madrid [0-1]
24:00 FC Barcelona v Levante [4-1]
Alhamisi Januari 30
23:00 Real Racing Santander v Real Sociedad [1-3]
NUSU FAINALI
Mechi ya Kwanza Feb 5-6, Marudiano Feb 12-13
Real Sociedad/Real Racing Santander v Levante/FC Barcelona
RCD Espanyol/Real Madrid v Atlético de Madrid/Athletic de Bilbao
FAINALI
Aprili 19
0 comments:
Post a Comment