HOME »
» KIBANDA NA MAKUNGA NA MAKADA WA CHADEMA WASHINDA KESI YA UCHOCHEZI
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini
Dar es Salaam imetoa hukumu ya kesi ya makala iliyodaiwa kuwa ya
uchochezi iliyokuwa inawakabili Meneja Uendeshaji Biashara wa Kampuni ya
Mwananchi Communications Ltd (MCL), Theophil Makunga, Mwenyekiti wa
zamani wa Chadema Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba na aliyekuwa Mhariri
Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima ambaye sasa ni Mhariri Mtendaji
Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006), Absalom Kibanda ambapo wameibuka
kidedea baada ya ushahidi upande wa mashitaka kutojitosheleza.
0 comments:
Post a Comment