Friday, 31 January 2014

BIASHARA NI NGUZO YA MAENDELEO KWA VIJANA NA AJIRA YAKUJIAJIRA YATAKA MOYO

BIASHARA ASUBUHI, JIONI MAHESABU.
ogppp_a8373.jpg
baadhi ya vijana ambao ni wafanyabiashara wa eneo la soko kuu la manispaa ya Iringa wakiwa katika heka heka ya biashara zao ili kujipatia riziki yao, baadhi ya vijana hao walisema kuwa biashara hizo zinawapa faida kubwa na hata kuwaasa vijana wenzao wasio na kazi kuweza kujishughulisha na biashara ili kujiendeleza kiuchumi kwa wao binafsi na kukuza maendeleo ya nchi.

DSC 0003 78223Wafanya biashara za mikononi wa kituo cha mabasi Morogoro wakiwa katika pilikapilika za kutafuta wateja, (Picha na Hudugu Ng'amiilo)

0 comments: