Wednesday, 29 January 2014

VPL: AZAM SASA KLELENI NA YANGA YAPUNGUZWA KASI NA COAST UNION

RATIBA/MATOKEO:
Jumatano Januari 29
Kagera Sugar v Mtibwa Sugar
Azam FC 1 Rhino Rangers 0
Ruvu Shooting 1 Mbeya City 1
Coastal Union 0 Yanga 0

VPL_2013-2014-FPAzam FC Leo hii imeitoa Yanga kwenye kilele cha VPL, Ligi Kuu Vodacom, ilipoifunga Rhino Rangers Bao 1-0 huko Azam Complex na Yanga kutoka Sare ya 0-0 na Coastal Union huko Mkwakwani Jijini Tanga.
Bao la ushindi la Azam Fc lilifungwa na Kipre Tchetche katika Dakika ya 26.
Huko Mabatini, Mlandizi, Ruvu Shooting na Mbeya City zilitoka Sare ya Bao 1-1 kwenye Mechi ambayo Ruvu walifunga mwanzo katika Dakika ya 4 kwa Bao la Jerome Lambele na Mbeya kusawazisha Dakika 9 baadae kupitia Jeremiah John.
Matokeo yameifanya Azam Fc ishike usukani ikiwa na Pointi 33, Yanga Nafasi ya Pili, Pointi moja nyuma na Mbeya City wako nyuma ya Yanga kwa Pointi 1 huku Timu zote zimecheza Mechi 15.
RATIBA:
Jumamosi Februari 1
Ashanti United v Mgambo JKT [Azam Complex, Dar es Salaam]
Simba v JKT Oljoro  [Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam]
Jumapili Februari 2
Yanga v Mbeya City [Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam]
MSIMAMO:
NO
TEAMS
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
Azam FC
15
9
6
0
25
10
15
33
2
Young Africans
15
9
5
1
33
12
21
32
3
Mbeya City
15
8
7
0
22
12
10
31
4
Simba SC
14
7
6
1
27
13
14
27
5
Kagera Sugar
14
5
5
4
15
11
4
20
6
Mtibwa Sugar
14
5
5
4
19
18
1
20
7
Coastal Union
15
3
9
3
11
8
3
18
8
Ruvu Shootings
14
4
6
4
16
16
0
18
9
JKT Ruvu
14
6
0
8
13
18
-5
18
10
Rhino Rangers
15
2
5
8
9
18
-9
11
11
JKT Oljoro
14
2
5
7
10
11
-10
11
12
Ashanti United
14
2
4
8
13
26
-13
10
13
Tanzania Prisons
13
1
6
6
6
16
-10
9
14
Mgambo JKT
14
1
3
10
5
26
-21
6

0 comments: