Mh. Juma Ngasongwa amenusurika kifo katika ajali iliyo tokea jana jioni Kibaha Picha ya ndege Mkoani Pwani.
Pichani
anaonekana Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza na Dr. Loti Kiwelu
akimjulia hali katika Hospitali ya Tumbi Kibaha alipo fikishwa kwa ajili
ya huduma ya kwanza ambapo alihamishiwa katika Hosipitali ya Muhimbili
MOI kwa ajili ya matibabu zaidi. (picha na Chris Mfinanga).
Ajali hiyo ilihusisha
gari aina ya Rav 4 mali ya Mh. Ngasongwa ambaye alikuwa akiendesha
mwenyewe kutoka jijini Dar es salaam kuelekea morogoro ambapo kwa mujibu
wa Ngasongwa alichomekewa na lori la Tanesco.
0 comments:
Post a Comment