Uwanja wa Mkwakwani uliopo Jijini Tanga umefurika mashabiki
waliojitokeza kushuhudia mechi hiyo iliyokuwa inachezwa kati ya wenyeji
Coastal Union dhidi ya mabingwa Yanga.
Kutokana na hali hiyo ililazimu utaratibu wa kawaida uanze kutumika
kwa mashabiki kuingia na tiketi kuchanwa kama kawaida, kitu ambacho
hakikuwa kimepangwa.
Source:Salehjembe.
0 comments:
Post a Comment