Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Ummy Mwalimu, kuwa Naibu Waziri wa Ofisi ya
Makamu wa Rais, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha Waziri na Manaibu
Waziri iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Jan 30, 2014. Picha
na OMR
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha George Boniface Tuguluvala Simbachawene,
kuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, wakati wa
hafla fupi ya kuwaapisha Waziri na Manaibu Waziri iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam ,jana Jan 30, 2014. Picha na OMR
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Kaika Saning’o Telele, kuwa Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, wakati wa hafla fupi ya
kuwaapisha Waziri na Manaibu Waziri iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam,janaJan 30, 2014. Picha na OMR
\
Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha Eng. Dr. Binilith Satano Mahenge, kuwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) wakati wa hafla fupi
ya kuwaapisha Waziri na Manaibu Waziri iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
Salaam, jana Jan 30, 2014. Picha na OMR
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda, wakia katika picha ya pamoja na Waziri na Manaibu
Waziri walioapishwa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam, jana Jan 30, 2014. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wapya na wa
zamani wa Ofisi yake, baada ya kuapishwa wapya katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Kutoka (kulia) ni
aliyekuwa Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Charles Muhangwa
Kitwanga, ambaye kwa sasa ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano)Samia Suluhu Hassan, Waziri wa
Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Eng. Dr. Binilith Satano
Mahenge, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu na aliyekuwa
Waziri wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Terezya Huvisa, wakati wa
hafla fupi ya kuwaapisha Waziri na Manaibu Waziri, iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam, Jana Jan 30, 2014. Picha na OMR
0 comments:
Post a Comment