Mfanya biashara wa viazi ulaya eneo la stand kuu iliyopo Iringa mjini akipanga viazi hivyo kwa ajili ya biashara.
Bei ya viazi hivyo imetofautiana kutokana na vipimo, lita ishirini ni sh 10,000/=, lita kumis h 7,000/=, lita nne ni sh 3000/= na lita mbili ni sh 1500/=
imeandikwa na Riziki Mashaka.
0 comments:
Post a Comment