HOME »
» MEYA WA BUKOBA AANIKA HADHARANI UFISADI ULIVYO FANYIKA
HATIMAYE Meya wa Bukoba, Dk. Anatory Amani
(CCM), ameamua kufunguka na kuweka wazi ufisadi unaofanyika ndani ya
Halmashauri ya Bukoba. Mbali ya ufisadi huo, ameainisha udhaifu na
upendeleo wa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), alioufanya
wakati wa ukaguzi ndani ya halmashauri hiyo kwa lengo la kumuondoa
katika nafasi yake ya umeya.
Soma zaidi...
0 comments:
Post a Comment