HOME »
» WAANDISHI WA HABARI BWANA!!! HUKU VIKOMBE VYA CHAI NA MAZUNGUMZO.....!
Familia Ya KwanzaJamii/Mjengwablog,
tukiwa na ndugu yetu Baruan Muhuza aliyekuja kututembelea na anayeongea
ni Mzee wetu Butinini, mdau wa habari wa miaka mingi na mkazi wa Iringa.
Pichani ni ndani ya mgahawa wa Baba Nusa.
Maggid,
Iringa
0 comments:
Post a Comment