Saturday, 25 January 2014

BUNDESLIGA: DORTMUND SARE, LEVERKUSEN YAFUNGWA!!

 >>DORTMUND PIGO: JAKUB BLASZCZYKOWSKI AUMIA!

>>BAYERN YABAKI POINTI 10 MBELE KILELENI, MECHI 1 MKONONI!
BORUSSIA_DORTMUND_JUKWAAMABINGWA na Vinara wa Bundesliga, Bayern Munich, wamebakia Pointi 10 mbele baada ya Wapinzani wao wa karibu, Bayer Leverkusen kufungwa na Borussia Dortmund kutoka Sare.
Mbli ya kutoka Sare ya 2-2 na Augsburg, pia Dortmund walimpoteza Mchezaji wao mahiri mno Jakub Blaszczykowski ambae inahofiwa ameumia vibaya Goti lake.
Dortmund walitangulia kupata Bao kupitia Sven Bender lakini ni Mchezaji huyo huyo alieisawazashia Augsburg baada kujifunga mwenyewe.
Dortmund walipata Bao la Pili kwa frikiki safi ya Nuri Sahin lakini Ji Dong-Won, ambae Msimu ujao anahamia Dortmund, alisawazisha na Mechi kwisha 2-2.
Sare hii imewapandisha Dortmund hadi Nafasi ya 3 wakiwa Poimti 4 nyuma ya Bayer Leverkusen ambao leo walichapwa 3-2 Freiburg.
BUNDESLIGA:
MSIMAMO-Timu za Juu:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Bayern Munich
17
15
2
0
44
8
36
47
2
Bayer Leverkusen
18
12
1
5
34
19
15
37
3
Borussia Dortmund
18
10
3
5
40
22
18
33
4
B Mönchengladbach
18
10
3
5
35
21
14
33
5
VfL Wolfsburg
18
9
3
6
29
22
7
30
6
Hertha Berlin
18
8
4
6
27
21
6
28
RATIBA/MATOKEO:
Ijumaa Januari 24
Borussia Mönchengladbach 0 Bayern Munich 2
Jumamosi Januari 25
BV Borussia Dortmund 2 FC Augsburg 2
FC Nuremberg 4 TSG Hoffenheim 0
VfB Stuttgart 1 FSV Mainz 2
VfL Wolfsburg 1 Hannover 3
SC Freiburg 3 Bayer 04 Leverkusen 2
Eintracht Frankfurt 1 Hertha Berlin 1
Jumapili Januari 26
[Saa za Bongo]
17:30 SV Werder Bremen v Eintr. Braunschweig
19:30 Hamburger SV v Schalke 04

0 comments: