Saturday, 25 January 2014

FA CUP: EVERTON WASHINDA ILA MCHEZAJI WAO AUMIZWA VIBAYA!!

>>DROO RAUNDI YA 5 KUFANYIKA JUMAPILI JAN 26!
FA_CUP_2013-2014Steven Naismith alipiga Bao mbili wakati Everton ilipoichapa 4-0 Stevenage, Timu ya Daraja la Ligi 1, na kutinga Raundi ya 5 ya FA CUP.
Bao nyingine za Everton zilifungwa na Johnny Heitinga na Magaye Gueye.
Lakini ushindi huu wa Everton umevurugwa baada ya Mchezaji wao Bryan Oviedo kuchezewa Rafu mbaya na kuvunjwa Mguu.
Mara baada ya Mechi mbili za mwisho za Raundi ya 4 hapo kesho itafanyika Droo ya kupanga Mechi za Raundi ya 5 ambazo zitahusu Timu 16 zilizofuzu ili kupangiwa Wapinzani wao kwa Mechi zitakazochezwa Wikiendi ya Februari 15.
VIKOSI:
Stevenage: Day, Ashton, Jones, Morais, Charles, Akins, Zoko, Heslop, Freeman, Smith, Hartley.
Akiba: Smith, Wedgbury, Burrow, Parrett, Tounkara, Andrade, Deacon.
Everton: Robles, Hibbert, Baines, Jagielka, McGeady, Oviedo, Mirallas, Naismith, McCarthy, Barry, Stones.
Akiba: Howard, Heitinga, Lukaku, Gueye, Osman, Vellios, McAleny.
Refa: Anthony Taylor

FA CUP
RATIBA/MATOKEO:
Raundi ya 4
Ijumaa Januari 24
Arsenal 4 Coventry 0
Nottingham Forest 0 Preston 0
Jumamosi Januari 25
Bournemouth 0 Liverpool 2
Birmingham 1 Swansea 2
Manchester City 4 Watford 2
Wigan 2 Crystal Palace 1
Rochdale 1 Sheffield Wednesday 2
Southend 0 Hull City 2
Port Vale 1 Brighton 3
Huddersfield 0 Charlton 1
Southampton 2 Yeovil 0
Bolton 0 Cardiff 1
Sunderland 1 Kidderminister 0
Stevenage 0 Everton 4
Jumapili Januari 26
[Saa za Bongo]
16:00 Sheffield United v Fulham
18:30 Chelsea v Stoke

THE FA CUP WITH BUDWEISER
MSIMU 2013-14
TAREHE ZA RAUNDI:
-RAUNDI YA 3: Jumamosi Januari 4 [KLABU ZA LIGI KUU ENGLAND HUANZA]
-RAUNDI YA 4: Jumamosi Januari 25
-RAUNDI YA 5: Jumamosi Februari 15
-RAUNDI YA 6: Jumamosi Machi 8
-NUSU FAINALI: Jumamosi Aprili 12 & Jumapili Aprili 13
-FAINALI: Jumamosi Mei 17

0 comments: