Wednesday, 1 January 2014

HII NDIO HISTORIA YA MAREHEMU DK WILLIAM MGIMWA/WAZIRI WA FEDHA TANZANIA


The Minister for Finance and Economic Affairs Dr William Mgimwa
Historia fupi ya Waziri wa Fedha wa Tanzania, Dr. William Mgimwa aliyefariki dunia nchini Afrika Kusini alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Kuzaliwa: Januari 20, 1950 Kalenga Iringa.
Elimu:
1966 - 1967 Shule ya Msingi Tosa
1961 -1965 Shule ya Msingi Wasa
1970-1971 Seminari ya Mafinga
1968 - 1969 Tosamaganga Sekondari
1975 - 1984 Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) - Postgraduate in Finance
1989 - 1991 IDM Mzumbe (MBA - Finance)
Ajira
1981 - 2000 - NBC Ltd (Mhasibu, Mhadhiri, Mkurugenzi, Mkurugenzi Mkuu)
2000 - 2010 - Chuo cha Benki Kuu ya Tanzania Mwanza (Mkuu wa Chuo)
2010 - 2013 - Mbunge, Kalenga (CCM)na waziri wa fedha wa Tanzania
Kufariki: Januari 1, 2014 
Na amefariki leo 1/1/2014 saa 6:20 mchana   nchini Afrika kusini  katika hospitali ya Mediclinic kloff alikokuwa amekwenda kwa matibabu ya ugonjwa wa "Presha" uliokuwa ukimsumbua kwa muda mrefu 

0 comments: