Aliyekuwa Katibu Mkuu na baadaye President-Elect wa Chama cha Madaktari Tanzania, MAT,
Dk Rodrick Kabangila ametangaza rasmi kujivua na kujiudhulu nyadhifa
zake zote ndani ya chama hicho cha kitaaluma, na kutangaza kujinga rasmi
na chama cha siasa, CHADEMA.
Katika taarifa iliyooneshwa na
runinga ya Star-Tv, Dk Kabangila amesema kuwa kwa mujibu wa sheria,
imembidi kuamua kufanya lililo sahihi na sasa amejiunga rasmi ili kupata
wigo mpana wa kupigania maslahi ya fani, madaktari na wananchi
Monday, 2 December 2013
HOME »
» KATIBU WA CHAMA CHA MADAKTARI AJIUZULU CHEO HICHO NA KUJIUNGA NA CHADEMA
0 comments:
Post a Comment