Naibu
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba (MB)
akizungumza kwenye uzinduzi wa Azam TV uliofanyika Hyatt Regency The
Kilimanjaro Hotel mwishoni mwa Juma ambapo amesema Azam TV imekujali
kuleta mapinduzi katika ulimwengu wa Digitali na kutoa fursa ya ajira
kwa Vijana wa Tanzania wenye vipaji sanjari na kuitangaza nchi yetu
katika bara la Afrika hasa kwenye upande wa Soka na Filamu.
Azam
TV itaanza kurusha matangazo yake Desemba 6 mwaka huu, Watanzania kaeni
mkao wa kula kupata King’amuzi kwa bei rahisi ambacho kitakuwa na
chaneli zisizopungua 50.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Azam Tv, Rhys Torrington akizungumza na wageni
waalikwa wakati wa uzinduzi rasmi wa Azam Television jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa Juma.
Naibu waziri Januari Makamba akifuatilia maelezo ya awali ya Azam TV
Wadau mbalimbali na wageni waalikwa wakifuatilia uzinduzi huo wa Azam TV.
Mkurugenzi wa vipindi wa Azam Tv Efe Atiyio akifafanua juu ya program mbalimbali za Azam Tv
Wadau katika uzinduzi
Wasiwasi Mwabulambo akiwa na wafanyakazi wenzake wa Azam TV
Januari Makamba, akitoa neno
Wageni waaalikwa
Lucy Ngongoseke Kihwele (kulia)akiwa katika pozi na dada yake
Huu ndio ungo wa Azam TV
Uzinduzi ndio huooo
Staff wa Azam Media wakiwa wameshika vifaa vya Azam TV
Mkurugenzi
Mkuu wa makampuni ya SSB Ltd. Said Muhammad Said (kushoto) akielezea
ubora wa Kisumbuzi cha Azam Tv kwa mmoja wa waalikwa.
Wasanii
wa Filamu nchini nao walihudhuria uzinduzi huo wa Azam TV, toka kushoto
ni Natasha, Monalisa na Hemed wakiwa na mdau mwingine wakiangalia
kipeperushi cha Azam TV.
0 comments:
Post a Comment