![]() |
Hivi ndivyo vitanda vya uwanji classic hotel kwa ajiri ya wageni wetu |
![]() |
Hawa nibadhi ya wageni watakao tembelea UWANJI CLASSIC HOTEL iliyopo tunduma maeneo ya sogea |
![]() |
Unakaribishwa katika Rstaurant nzuri ya kisasa kabisa ili upete chakula safi na salam ndani ya uwanji classic hoteli |
![]() |
Unaweza kuwasiliana nasi kwenye namba za simu na email yetu zilizopo kwenye bussnescard yetu kwa huduma zaidi |
![]() |
Wahudumu wetu wazuri njoo ufurahie huduma zao |

kushoto ni Kulwa Inoccent na kulia ni mkurugenzi wa uwanji classic hotel Mr wiiliam ngogo kwapamoja akipata chakula ndani ya uwanj classic hoteli mjini tunduma
0 comments:
Post a Comment