MSHAMBULIAJI Danny Welbeck ametokea benchi na kuipa Manchester United bao muhimu la ushindi dhidi ya Norwich leo hii.
Bao
hilo pekee lilifungwa na Webeck katika dakika ya 57 akipokea pasi nzuri
kutoka kwa mashambuliaji mwenza, Javier Hernandez maarufu kwa jina la
Chicharito.
Man
United iliwakosa washambuliaji wake muhimu, Wayne Mark Rooney ambaye
hakusafiri na timu kuwafuata Norfolk kutokana na majeruhi. Pia Robin
van Persie aliendelea kukosekana, hivyo kipindi chote cha kwanza
walikuwa butu mpaka mwokozi Welbeck alipoingia kipindi cha pili.
Katika
mchezo mwingine muhimu ulikuwa baina ya Manchester City dhidi ya
Crystal Palace katika dimba la Etihad na kushuhudia City wakiibuka na
ushindi wa bao 1-0 na kukalia usukani wa EPL kwa saa wakisubiri matokeo
ya mechi ya Leo
Goooo! Danny Welbeck ametokea benchi na kuipa Manchester United bao la ushindi
Kazi tu!: Mshambuliaji wa United, Welbeck akimlamba chenga mlinda mlango John Ruddy kabla ya kuzamisha mpira nyavuniWamepumua!: Welbeck na wachezaji wenzake wakishangilia bao la ushindi
Baada ya matokeo ya leo, msimamo wa ligi kuu unakuwa kama ifuatavyo, huku mechi za Leo zikisubiriwa;
Pos | Team | P | W | D | L | GF | GA | GD | Pts |
1 | Manchester City | 19 | 13 | 2 | 4 | 54 | 21 | 33 | 41 |
2 | Arsenal | 18 | 12 | 3 | 3 | 36 | 18 | 18 | 39 |
3 | Chelsea | 18 | 11 | 4 | 3 | 33 | 18 | 15 | 37 |
4 | Liverpool | 18 | 11 | 3 | 4 | 43 | 21 | 22 | 36 |
5 | Everton | 18 | 9 | 7 | 2 | 29 | 17 | 12 | 34 |
6 | Manchester United | 19 | 10 | 4 | 5 | 32 | 22 | 10 | 34 |
7 | Newcastle United | 18 | 10 | 3 | 5 | 29 | 23 | 6 | 33 |
8 | Tottenham Hotspur | 18 | 9 | 4 | 5 | 19 | 24 | -5 | 31 |
9 | Southampton | 18 | 7 | 6 | 5 | 25 | 18 | 7 | 27 |
10 | Hull City | 19 | 6 | 5 | 8 | 22 | 23 | -1 | 23 |
11 | Swansea City | 19 | 5 | 6 | 8 | 24 | 25 | -1 | 21 |
12 | Stoke City | 18 | 5 | 6 | 7 | 18 | 26 | -8 | 21 |
13 | Aston Villa | 19 | 5 | 5 | 9 | 18 | 25 | -7 | 20 |
14 | Norwich City | 19 | 5 | 4 | 10 | 16 | 32 | -16 | 19 |
15 | West Bromwich Albion | 19 | 3 | 9 | 7 | 22 | 27 | -5 | 18 |
16 | Cardiff City | 19 | 4 | 6 | 9 | 15 | 30 | -15 | 18 |
17 | Crystal Palace | 19 | 5 | 1 | 13 | 12 | 28 | -16 | 16 |
18 | Fulham | 19 | 5 | 1 | 13 | 19 | 41 | -22 | 16 |
19 | West Ham United | 19 | 3 | 6 | 10 | 18 | 28 | -10 | 15 |
20 | Sunderland | 19 | 3 | 5 | 11 | 15 | 32 | -17 | 14 |
Kazi rahisi tu: Mshambuliaji wa Manchester City, Edin Dzeko akifunga bao la ushindi dhidi ya Crystal Palace
Dzeko (kulia) akishangilia bao lake, huku wachezaji wa Palace wakiduwaa
Tumepumua jamani!: Dzeko akipongezwa na Alvaro Negredo (kushoto) baada ya kuvunja ngome ngumu leo hii katika dimba la Etihad
MATOKEO YA MECHI ZA LEO NI KAMA IFUATAVYO;
Finished
|
3-3 |
West Bromwich Albion
|
(1-2) | |||||||
Finished
|
1-1 |
Swansea
|
(1-1) | |||||||
Finished
|
6-0 |
Fulham
|
(0-0) | |||||||
Finished
|
0-1 |
Manchester United
|
(0-0) | |||||||
Finished
|
1-0 |
Crystal Palace
|
(0-0) | |||||||
Finished
|
2-2 |
Sunderland
|
Manchester City wamefikisha
pointi 41 kileleni, lakini yawezekana wamekaa kwa saa kadhaa kwani
Arsenal ambao wapo nafasi ya pili na pointi 39 watacheza leo dhidi ya
Newcastle United.
Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail, soccerstand na suppersport.com | ||||||||||
0 comments:
Post a Comment