
Mmiliki wa mtandao/blog ya mbeyagreennews, Mr Abdul M Abdallah ina anawatakia wasomaji wa blog hii sherehe hii ya mwaka mpya iwe njema na MUNGU awabariki kwa kusoma blog hii napia anawahidi habari motomoto na za ukweli zaidi asanteni mwaka mpya mwema karibuni tukutane mwaka 2014
0 comments:
Post a Comment