Saturday, 7 December 2013

KIKOSI BORA DUNIANI 2013: VIUNGO 15 WATAJWA KUGOMBEA

>>WANAUNGANA NA MAKIPA 5, VIUNGO 15 WALIOTANGAZWA!!
>>LISTI WACHEZAJI 55 KUGOMBEA NAFASI 11 KUKAMILIKA JUMATATU KWA KUTAJWA MAFOWADI 15!!
fifproFIFPro), yaani Shirikisho la Kimataifa la Wachezaji Soka wa Kulipwa, pamoja na FIFA, Jana walitangaza Majina ya Viungo 15 watakaokuwemo kwenye kinyang’anyiro cha kuchagua Wachezaji 11 ili kuunda Kikosi Bora Duniani kwa Mwaka 2013, kinachojulikani rasmi kama FIFA/FIFPro World XI, ambacho hupatikana kwa Kura za Wachezaji Soka ya Kulipwa Duniani.
Tayari Makipa Watano na Mabeki 20 wameshatangazwa na Desemba 9 Listi ya Wagombea 55 itakamilika kwa kutangazwa Mafowadi 15.
Listi ya Viungo wataowania kuwemo kwenye FIFA/FIFPro World XI ni:
Xabi Alonso (Spain, Real Madrid CF)
Gareth Bale (Wales, Tottenham Hotspur FC/Real Madrid CF)
Sergio Busquets (Spain, FC Barcelona)
Steven Gerrard (England, Liverpool FC)
Andrés Iniesta (Spain, FC Barcelona)
Isco (Spain, Málaga CF/Real Madrid CF)
Mesut Özil (Germany, Real Madrid CF/Arsenal FC)
Andrea Pirlo (Italy, Juventus)
Marco Reus (Germany, Borussia Dortmund)
Franck Ribéry (France, FC Bayern München)
Arjen Robben (Netherlands, FC Bayern München)
Bastian Schweinsteiger (Germany, FC Bayern München)
Yaya Touré (Ivory Coast, Manchester City FC)
Arturo Vidal (Chile, Juventus)
Xavi (Spain, FC Barcelona).
LISTI KAMILI YA WACHEZAJI WALIOTAJWA HADI SASA:
Listi ya Makipa wataowania kuwemo kwenye FIFA/FIFPro World XI ni:
-Gianluigi Buffon (Italy, Juventus)
-Iker Casillas (Spain, Real Madrid CF)
-Petr Cech (Czech Republic, Chelsea FC)
-Manuel Neuer (Germany, FC Bayern München)
-Víctor Valdés (Spain, FC Barcelona).

Listi ya Mabeki wataowania kuwemo kwenye FIFA/FIFPro World XI ni:
-David Alaba (Austria, FC Bayern München);
-Jordi Alba (Spain, FC Barcelona);
-Dani Alves (Brazil, FC Barcelona);
-Leighton Baines (England, Everton FC);
-Jérôme Boateng (Germany, FC Bayern München);
-Ashley Cole (England, Chelsea FC);
-Dante (Brazil, FC Bayern München);
-Mats Hummels (Germany, Borussia Dortmund);
-Branislav Ivanović (Serbia, Chelsea FC);
-Philipp Lahm (Germany, FC Bayern München);
-David Luiz (Brazil, Chelsea FC);
-Vincent Kompany (Belgium, Manchester City FC);
-Marcelo (Brazil, Real Madrid CF); Pepe (Portugal,
-Real Madrid CF); Gerard Piqué (Spain, FC Barcelona);
-Sergio Ramos (Spain, Real Madrid CF );
-Thiago Silva (Brazil, Paris St-Germain FC);
-Raphaël Varane (France, Real Madrid CF);
-Nemanja Vidić (Serbia, Manchester United FC);
-Pablo Zabaleta (Argentina, Manchester City FC).
Listi ya Viungo wataowania kuwemo kwenye FIFA/FIFPro World XI ni:
-Xabi Alonso (Spain, Real Madrid CF)
-Gareth Bale (Wales, Tottenham Hotspur FC/Real Madrid CF)
-Sergio Busquets (Spain, FC Barcelona)
-Steven Gerrard (England, Liverpool FC)
-Andrés Iniesta (Spain, FC Barcelona)
-Isco (Spain, Málaga CF/Real Madrid CF)
-Mesut Özil (Germany, Real Madrid CF/Arsenal FC)
-Andrea Pirlo (Italy, Juventus)
-Marco Reus (Germany, Borussia Dortmund)
-Franck Ribéry (France, FC Bayern München)
-Arjen Robben (Netherlands, FC Bayern München)
-Bastian Schweinsteiger (Germany, FC Bayern München)
-Yaya Touré (Ivory Coast, Manchester City FC)
-Arturo Vidal (Chile, Juventus)
-Xavi (Spain, FC Barcelona). 

FIFA na International Federation of Professional Footballers (FIFPro), yaani Shirikisho la Kimataifa la Wachezaji Soka wa Kulipwa, wamekuwa wakiendesha Kura za Kikosi Bora Duniani cha Mwaka kwa Miaka mitano sasa.
Kikosi cha Wachezaji 11 kitatangazwa rasmi hapo Januari 13, Mwaka 2014 huko Zurich, Uswisi kwenye Tafrija maalum ya FIFA Ballon d’Or Gala ambayo pia atatangazwa Mshindi wa FIFA Ballon d’Or, yaani Mchezaji Bora Duniani kwa Mwaka 2013.
Mwaka 2012, Wachezaji wote 11 walioshinda na kuingia Kikosi Bora Duniani walitokea Spain kwenye La Liga.

KIKOSI BORA DUNIANI 2012:
KIPA: Iker Casillas
MABEKI: Sergio Ramos, Gerard Pique, Daniel Alves, Marcelo
KIUNGO: Xabi Alonso, Xavi, Andrés Iniesta
MAFOWADI: Lionel Messi, Cristiano Ronaldo, Radamel Falcao
 XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ndio Wachezaji waaoshikilia Rekodi ya kuteuliwa mara nyingi kwenye Kikosi Bora Duniani kwa kuingia mara 6 kila mmoja.
FIFPro tayari imeshatuma Karatasi za Kura 50,000 kwenda Nchi 68 Duniani katika Mabara ya Africa, Asia, Europe na Marekani.
TAREHE MUHIMU KUTANGAZWA MAJINA 55 YA MWISHO:
Desemba 2-Makipa
Desemba 4-Mabeki
Desemba 6-Viungo
Desemba 9-Mafowadi

0 comments: