Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga
akisaini kitabu cha wageni wakati wa ziara ya kutembelea shirika hilo
leo Jijini Dar es Salaam,waliokaa kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya
Habari(MAELEZO) Bw.Assah Mwambene na Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika
la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana
Fundi
wa Zamu katika chumba cha kurushia matangazo Bi.Rehema Lugosi akitoa
maelekezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na
Michezo Bi. Sihaba Nkinga ya jinsi wanavyofanya kazi katika eneo hilo,
wakati wa ziara ya kutembelea shirika hilo leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana akitoa
maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo
Bi. Sihaba Nkinga(aliyekaa) katika studio ya TBC Taifa
PICHA NA HASSAN SILAYO- MAELEZO
0 comments:
Post a Comment