Tuesday, 31 December 2013

MWAKA MPYA WA ANZA VIBAYA MKOANI IRINGA KWA AJARI MBAYA NI DAKIKA 20 BAADA MWAKA MPYA

 
Hii ni ajali mbaya ya  piki piki iliyotokea  eneo la  Ilala katika Manispaa ya  Iringa  ikiwa ni dakika 20 baada ya  kuaga mwaka  2013 na kuukaribisha  mwaka  2014 
Hawa ni majeruhi wa ajari hiyo kushoto ni dereva wa  boda boda JOseph Nyegele na kulia ni abiria  wake ambae hajitambui kabisa
Hii  ndio  hali halisi ya ajali  hiyo mguu ukiwa  umechakaa vibaya
Wasamaria  wema  wakisaidia  kushusha majeruhi ambao wamepata ajali ya pikipiki  wakati wakiuanga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014  Usiku wakuamkia leo mjini Iringa

0 comments: