Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akikata
Utepe kuashiria uzinduzi wa Makao Makuu ya Benk ya Kiislamu ya PBZ na
Tawi Jipya huko katika mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra
shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mwananchi
akipatiwa huduma katika Benki ya Kiislamu baada ya kuzinduliwa huko
katika mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50
ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akitia
saini baada ya Kujiunga katika Benki ya Kiislamu huko katika mtaa wa
Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi ya
Zanzibar
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi
akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Benki ya Kiislamu
huko katika mtaa wa Mpirani Mjini Unguja ikiwa ni shamra shamra za miaka
50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kulia yake ni Waziri wa Fedha wa Zanzibar
Omar Yussuf Mzee na kushoto yake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benk ya
kiislam Juma Amour.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
0 comments:
Post a Comment