ITV
— Serikali imetangaza watakaoingia kidato cha kwanza mwakani kutokana
na matokeo ya darasa la saba ambapo wanafunzi 427,60 kati ya 844,938
waliofanya mtihani huo mwaka huu wamefaulu ikiwa ni asilimi 50.61 huku
ikisisitiza hakuna asiyejua kusoma kuhesabu na kuandika .
Jumla ya wanafunzi 844,938 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani katika shule za serikali kati ya wanafunzi 867,983 waliofanya mtihani huo mwaka huu.
Akitangaza matokeo hayo katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za mitaa Bw. Jumanne Sagini amesema katika wanafunzi waliofaulu 16,482 wamekosa nafasi na kwamba watasubiri chaguo la pili na kwamba katika mitihani hiyo vitendo vya udanganyifu vilipungua tofauti na mwaka jana.
Kuhusu kuwepo kwa wanafunzi ambao wamemaliza darasa la saba mwaka huu bila kujua kusoma wala kuandika katibu mkuu huyo wa Tamisemi amesema hakuna mwanafunzi hata mmoja aliyemaliza darasa hilo la saba hakiwa hajui kusoma na kuandika na kwamba hizo ni propaganda za watu wasioitakia mema sekta ya elimu hapa nchini.

Chanzo ITV
0 comments:
Post a Comment