Saturday, 7 December 2013

CHALENJI CUP: HIVI NDIYO KILI STARS ILIVYO WAPIGA MABINGWA WA TETEZI UGANDA!


>>NUSU FAINALI KUCHEZA NA MSHINDI KATI YA KENYA v RWANDA!!
RATIBA/MATOKEO:
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
SIKU
NA
ROBO FAINALI
MJI
SAA
Jumamosi Desemba 7
19
Uganda 2 Kili Stars 2 -Stars wasonga Penati 3-2
Mombasa
1400

20
Kenya v Rwanda
Mombasa
1600
Jumapili Desemba 8
21
Zambia v Burundi
Mombasa
1400

22
Ethiopia v Sudan
Mombasa
1600
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KILI_MABINGWAKilimanjaro Stars wametinga Nusu Fainali ya CHALENJI CUP baada ya kuwatupa nje Mabingwa Watetezi Uganda kwa Penati 3-2 kufuatia Sare ya Bao 2-2 katika Dakika 90.
Kipa Ivo Mapunda anastahili pongezi kubwa kwa kuokoa Penati mbili za Uganda wakati wa Mikwaju ya Penati 5 zilizopigwa na kuokoa Penati za Sserunkuma na Khalid Aucho.
Uganda pia walikosa Penati nyingine moja iliyopigwa na Godfrey Walusimbi na walifunga mbili kupitia Hamisi Kiiza na Emannuel Okwi.
Penati za Kili Stars zilifungwa na Kevin Yondan, Athumani ‘Chuji’na Erasto Nyoni huku Samatta na Kiemba wakipoteza Penati zao.
Katika Mechi hiyo, Uganda walitangulia kufunga katika Dakika ya kwa Bao la Sserunkuma lakini Mrisho Ngassa, akipokea pande toka Mbwana Samatta, alisawazisha katika Dakika ya 21 na Ngassa tena kupiga Bao la Pili katika Dakika ya 38 kwa frikiki baada Samatta kuchezewa Rafu.
Refa Wish Yabarow wa Somalia aliipa pigo Kilimanjaro Stars katika Dakika ya 53 kwa kumtoa kwa Kadi Nyekundu Kiungo Salum Abubakar ‘Sure Boy’.
Katika Dakika ya 73, Uganda walisawazisha baada ya Kona iliyomkuta Martin Mpuga na kufunga.
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
JE WAJUA?
- Uganda wametwaa Chalenji Cup mara 13 na Tanzania Bara mara 3.
- Uganda waliitoa Kilimanjaro Stars 3-0 kwenye Nusu Fainali Mwaka Jana.
- Mara zote 3 Tanzania Bara ilipotwaa Chalenji Cup imekuwa ikiifunga Uganda. Mwaka 1974 waliitoa kwa Penati 5-3 baada Sare ya 1-1, 1994 waliifunga 4-3 kwa Penati baada Sare ya 2-2 na Mwaka 2010 kwa Penati 3-2 baada Sare ya 0-0.
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Kwenye Nusu Fainali hapo Jumanne Desemba 10 Kilimanjaro Stars watakutana na Mshindi kati ya Kenya na Rwanda.
VIKOSI:
UGANDA: Benjamin Ochan, Nico Wadada, Muga Martin, Geoffrey Kizito, Godfrey Walusimbi, Kasaga Richard, Khalis Aucho, Mpande Joesph, Daniel Sserunkuma, Hamisi Kiiza, Emmanuel Okwi. 
KILI STARS: Ivan Mapunda, Kelvin Yondani, Erasto Nyoni, Aidan, Said Hussein Moradi, Frank Raymond Domayo, Salum Abubaker, Samata Mbwana, Mrisho Ngassa, Thomas Ulimwengu, Amri Kiemba
REFA: Wish Yabarow [Somalia]
RATIBA/MATOKEO:
TAREHE
NA
MECHI
KUNDI
UWANJA
SAA
Jumatano Novemba 27
1
Zanzibar 2 South Sudan 1
A
Nyayo
1400

2
Kenya 0 Ethiopia 0
A
Nyayo
1630
Alhamisi Novemba 28
3
Burundi 2 Somalia 0
B
Machakos
1400

4
Kili Stars 1 Zambia 1
B
Machakos
1600
Ijumaa Novemba 29
5
Sudan 3 Eritrea 0
C
Machakos
1400

6
Uganda 1 Rwanda 0
C
Machakos
1600
Jumamosi Novemba 30
7
Ethiopia 3 Zanzibar 1
A
Nyayo
1400

8
South Sudan 1 Kenya 3
A
Nyayo
1600
Jumapili Desemba 1
9
Somalia 0 Kili Stars 1
B
Nyayo
1400

10
Zambia 1 Burundi 0
B
Nyayo
1600
Jumatatu Desemba 2
11
Sudan 1 Rwanda 0
C
Machakos
1400

12
Eritrea 0 Uganda 3
C
Machakos
1600
Jumanne Desemba 3
13
South Sudan 0 Ethiopia 2
A
Machakos
1400

14
Kenya 2 Zanzibar 0
A
Machakos
1600
Jumatano Desemba 4
15
Kili Stars 1 Burundi 0
B
Nyayo
1400

16
Somalia 0 Zambia 4
B
Nyayo
1600
Alhamisi Desemba 5
17
Rwanda 1 Eritrea 0
C
Nyayo
1400

18
Uganda 1 Sudan 0
C
Nyayo
1600
Ijumaa Desemba 6

MAPUMZIKO





ROBO FAINALI



Jumamosi Desemba 7
19
Uganda 2 Kili Stars 2 [Penati 2-3]

Mombasa
BADO

20
Kenya v Rwanda

Mombasa
BADO
Jumapili Desemba 8
21
Zambia v Burundi

Mombasa
BADO

22
Ethiopia v Sudan

Mombasa
BADO
Jumatatu Desemba 9

MAPUMZIKO



Jumanne Desemba 10

NUSU FAINALI




23
Kili Stars v Mshindi 20


BADO

24
Mshindi 21 v Mshindi 22


BADO
Desemba 11

MAPUMZIKO



Alhamisi Desemba 12
25
Mshindi wa Tatu


1400

26
FAINALI


1600

0 comments: