Friday, 27 December 2013

WANAJESHI WASOMALIA WAUAWA KWA BOMU NCHINI HUMU


    Milipukoi mekuwa ikijitokeza mara kwa mara nchini Somalia

    Takriban wanajeshi watano na afisa wa jeshi wameuawa katika mlipuko wa bomu mjini Mogadishu,nchini Somalia mashuhuda wameeleza.
    Mlipuko huo unaelezwa kutokea wakati wanajeshi hao wakipata malipo yao nje kidogo ya mji huo.
    Sababu ya mlipuko huo haijafahamika,majeruhi kadhaa wamepelekwa hospitalini kwa matibabu.
    Wanamgambo wa kiislamu, al Shabab walitimuliwa kwa nguvu mjini Mogadishu mwaka 2011 lakini wameendelea kufanya mashambulizi nchini humo
    Kundi hilo lenye uhusiano na kundi la kigaidi la al -Qaeda linadhibiti

    chanzo bbcswahili

    0 comments: