Watuhumiwa wakipanda gari la polisi tayari kwenda kituo kikuu cha polisi.
Kete zilitolewa katika gari baada ya kupekuliwa
Hapa kuna kete aina mbili zinaonekana katika hii picha, za juu nyeupe sana ndizo zilitopatikana katika gari baada ya kupekuliwa na hizo za rangi kama njano kwa mbali ndizo zilitotolewa katika tumbo la marehemu baada ya kupasuliwa.
Huyo ni Dk Lyamuya ambaye aliwapiga
chenga waandishi wakati wakimtaka kueleza alichoona wakati wa uchunguzi
wa maiti aliyepasuliwa tumbo ili kuweza kubaini kama ni kweli maiti
ilikuwa na kete zinazodaiwa kuwa ni madawa ya kulevya lakini baadaye
aliongea nao
Hati za kusafirisia, hiyo ya njano ni ile iliyokuwa ikitumiwa na marehemu Khalid.
Huyo ndiye anayedaiwa kuwa ndiye ndugu wa marehemu, hizo ni karoti wakati wa zoezi la upekuaji.
Mmoja wa makachero wa jeshi la polisi akipekua hadi katika injini ya gari.
Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya jinai
mkoa wa Morogoro akiongea na waandishi mara baada ya kumalizika kwa kazi
ya uchunguzi huku waandishi wakimtaka kutoa taarifa juu ya tukio hilo
ofisini kwake mtaa wa Kitope.
Hapa kuna kete aina mbili zinaonekana katika hii picha, za juu nyeupe sana ndizo zilitopatikana katika gari baada ya kupekuliwa na hizo za rangi kama njano kwa mbali ndizo zilitotolewa katika tumbo la marehemu baada ya kupasuliwa.
0 comments:
Post a Comment