Itakumbukwa
kuwa Serikali iliamua kuanzisha “Operesheni Tokomeza Ujangili” kufuatia
kukithiri kwa vitendo vya ujangili katika maeneo yote yaliyotengwa
kisheria kama Mapori ya Akiba; Hifadhi za Taifa na Hifadhi za Misitu
katika miaka ya karibuni. Hata hivyo, Serikali iliamua kusitisha
operesheni hiyo kwa muda.
Kufuatia kusitishwa kwa Operesheni Tokomeza, matukio ya uvunjaji wa sheria za hifadhi kama vile uingizaji holela wa mifugo katika maeneo ya hifadhi; ujangili wa tembo pamoja na uvunaji wa miti katika hifadhi za misitu yanaonekana

0 comments:
Post a Comment