Saturday, 28 December 2013

DK SHEIN AONGOZA MAHAFARI 9 YA CHUO KIKUU CHA TAIFA SUZA

TA1A5007Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa
SUZA,akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Ali Juma
Shamuhuna,wakati alipowasili Chuo Kikuu cha Taifa,kampasi ya
Tunguu,katika sherehe za mahfali ya 9 ya chuo hicho,ambayo wahitimu wa
fani mbali mbali wamepatiwa Shahada,Stashahada na Vyeti.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A5018Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa
SUZA,akisalimiana na walimu wa Chuo Kikuu cha SUZA,alipowasili katika
mahfali ya 9 yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati
Unguja, leo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A5045Baadhi ya wahitimu wa fani mbali mbali  wa Chuo Kikuu cha
Taifa SUZA,wakiwa katikaa maandamano wakati wa sherehe za mahfali ya 9
chuo hicho,yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja,
leo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A5074 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(wa pili
kulia) akiongoza maandamano wakati wa sherehe za mahfali ya 9 chuo
hicho,yaliyofanyika kampasi ya Chuo Tunguu,Wilaya ya Kati Unguja
leo,yaliyowashirikisha baadhi ya wahitimu na walimu.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
TA1A5135
Baadhi ya wahitimu wa shahada ya sayansi ya kompyuta,ya
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar,wakisimama walipotunukiwa na  Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(hayupo pichani) katika
mahafali ya 9 iliyofanyika kamapasi ya Tunguu leo.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
TA1A5209Baadhi ya wahitimu wa shahada ya sayansi na Elimu,ya
Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar,baada ya kutunukiwa na  Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA,(hayupo pichani) katika
mahafali ya 9 iliyofanyika kamapasi ya Tunguu leo.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
TA1A5219 
Wahitimu wa Stashahada ya Teknolojia ya
habari,waliotunukiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waa Baraza la

Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa

SUZA,(hayupo pichani) katika mahafali ya 9 iliyofanyika kamapasi ya

Tunguu leo,(kutoka kushoto) Stewat Njelekela,Seif Mohamed Nassor na

Husna Shaabani Bwamadi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments: