Gari la Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mbunge wa jimbo la Buchosa, Dkt. Charles Tizeba likitoa msaada kwa baadhi ya magari yaliyokwama kwenye tope kutokana na mvua kali iliyokuwa ikinyesha hivi karibuni huko jimboni kwake.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za magari yaliyokwama kwenye tope hilo.