Sunday, 1 December 2013

TAMKO LA UMOJA WA MATAWI YA WANACHADEMA MWANZA JUU YA UAMUZI WA KAMATI KUU YA CHADEMA

TAMKO LA UMOJA WA MATAWI YA WANACHADEMA MKOA WA MWANZA DHIDI YA UAMUZI HARAMU WA KAMATI KUU YA CHADEMA.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UTANGULIZI

Ndugu wanahabari, mbele yenu ni muunganiko wa wawakilishi wa matawi 189 ya chama cha demokrasia na maendeleo mkoa wa mwanza. Umoja huu wa matawi unawajumuisha wajumbe kutoka majimbo yote ya mkoa wa mwanza.

Hivyo katika kikao chetu tulichoketi tarehe 30 Nov. 2013 kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa tisa kasorobo, pamoja na mambo mengine tumeazimia kuanzisha umoja huu wa wanachama.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba viongozi wetu wanaotuwakilisha kwenye vikao vya maamuzi kama  vile wilaya, mkoa na


 

0 comments: