Mashabiki wa Timu ya Simba, wakimpokea kwa shangwe na nderemo, kocha wao mpya aliyetua nchini leo machana.
Kocha huyo akikabidhiwa taji la maua na mashabiki baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar jana.
Na http://www.sufianimafoto.com (P.T)
Na http://www.sufianimafoto.com (P.T)
Mara
kadhaa kumekuwa kukitokea furaha kwa mashabiki, viongozi na hata
wachezaji wa Klabu zetu kubwa hapa nchini, wakati wanapokuwa
wanamkaribisha Kocha mpya ama kumtambulisha kwa mbwembwe nyingi, lakini
anapotokea kukosea kidogo haijalishi ni muda gani amekwisha kaa na Klabu
husika, anaweza kutimulia ama kuanzishiwa mizengwe hadi akakata tamaa
ya kuonyesha yale yote aliyojiandaa nayo kuifanyia Klabu husika.
Wakati umefika sasa kwa Klabu zetu kufunguka kifikra na kuwa na upeo wa kufikiri ili kuziendeleza klabu zetu, kwa kuwaachia makocha waweze kufanya yale yanayostahili bila kuingiliwa na viongozi ama watu flani kwa pesa zao ama umaarufu wao katika klabu. Huko nyuma walikwishapokelewa makocha kadhaa kama alivyofanyiwa kocha huyu leo na waliondoka kimya kimya huku wengine wakiondoka klabuni kwa mafalakano na viongozi wa klabu.
Akipata menu.....
Kocha huyo akiongozana na baadhi ya
viongozi wa Simba wakati alipotembelea na kukagua uwanja wa mazoezi wa
Klabu hiyo wa Kinesi.Picha kwa Hisani ya Lenzi ya Michezo
SOURSE Mjengwa Blog
Wakati umefika sasa kwa Klabu zetu kufunguka kifikra na kuwa na upeo wa kufikiri ili kuziendeleza klabu zetu, kwa kuwaachia makocha waweze kufanya yale yanayostahili bila kuingiliwa na viongozi ama watu flani kwa pesa zao ama umaarufu wao katika klabu. Huko nyuma walikwishapokelewa makocha kadhaa kama alivyofanyiwa kocha huyu leo na waliondoka kimya kimya huku wengine wakiondoka klabuni kwa mafalakano na viongozi wa klabu.
SOURSE Mjengwa Blog
0 comments:
Post a Comment