Msanii
chipukizi aliyeonesha uwezo wa hali ya juu kiasi cha kulishawishi jopo
la majaji wa Shindano la kutafuta vipaji la Bongo Star Search (BSS)
linalodhaminiwa na kampuni ya Simu za Mkononi ya Zantel kupitia huduma
yake ya Epiq, Emmanuel Msuya ameshinda taji hilo na kuondoka maskani na
kitita cha Shilingi Milioni 50. Msuya alishnda taji hilo usiku wa
kuamkia leo baada ya kuwabwa wenzake wengine chini pichani.
Msuya
alikuwa na uwezo mkubwa na alikuwa akishindana vikali na Mwana dada
Elizabethj Mwakijambile ambaye pia alikuwa mkali katika mashindano hayo
ya mwaka huu. Mbali na kitita hicho pia Msuya atapata wasaa wa kufanya
kzi zake za mziki chini ya MJ Records
0 comments:
Post a Comment