MBUNGE
wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), kwa mara nyingine ameingia
matatani baada ya kushindwa kesi iliyofunguliwa na mfanyabiashara raia
wa Afrika Kusini.
Katika kesi hiyo, Zitto alituhumiwa kutoa madai kupitia tovuti yake www.zittokabwe.wordpress.com kuwa mlalamikaji, Moto Mabanga alitoa rushwa ya mabilioni ya fedha kwa maofisa wa Serikali ya Tanzania ili kufanikisha kampuni ya Ophir Energy kupata vitalu vitatu vya gesi mkoani Mtwara kati ya mwaka 2004/2005.
Katika kesi hiyo ya madai Namba 153 ya 2013 iliyofunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, mfanyabiashara huyo pamoja na mambo mengine alidai kulipwa fidia ya Dola za Marekani milioni 5 ambazo ni sawa na Sh

0 comments:
Post a Comment