Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) na akipata maelezo kutoka kwa Bunker Roy(katikati)
Mwanzilishi wa Chuo kinachofundisha mambo ya ufundi wa aina mbali mbali
ikiwemo vifaa vya umeme wa jua katika kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer
Jimbo la Rajistan Nchni India akiwa katika ziara rasmi na ujumbe wake
katika kukuza uhusiani na mashirikiano ya Kijamii.[Picha na Ramadhan
Othman India.]
Wanafunzi
wa kike kutoka nchi mbali mbali wakiwa na mashine ya Umeme unaotumia
Jua wanafunzi hao wakiwemo na wanafunzi kutoka Zanzibar katika kisiwa
cha Pemba tayari wameweza kujipatia elimu ambayo wanatweza kuwapatia na
wenzao watakaporudi nyumbani, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliweza kujionea wanafunzi wanavufanya
kazi zao akiwa katika ziara rasmi nchini India[Picha na Ramadhan Othman
India.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na mwenyeji wake katika Chuo cha ufundi wa Mafunzo
ya Amali Bunker Roy(wa pili kulia) Mwanzilishi wa Chuo kinachofundisha
mambo ya ufundi wa aina mbali mbali ikiwemo vifaa vya umeme wa jua
katika kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajistan Nchni India
akiwa katika ziara rasmi na ujumbe wake katika kukuza uhusiani na
mashirikiano ya Kijamii.[Picha na Ramadhan Othman India.]
0 comments:
Post a Comment