Sunday, 23 February 2014

PINDA AFUNGUA SEMINA YA WAZAZI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia semina ya viongozi na  watendaji  wa Jumuiya  ya Wazazi  Ngazi ya Taifa, mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Februari  22, 2014wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua semiana hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 2 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia semina ya viongozi na  watendaji  wa Jumuiya  ya Wazazi  Ngazi ya Taifa, mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Februari  22, 2014wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua semiana hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A0459 1 
Washiriki wa Semina ya viongozi na  watendaji  wa Jumuiya  ya Wazazi  Ngazi ya Taifa,mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Februari  22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A0491 
Washiriki wa Semina ya viongozi na  watendaji  wa Jumuiya  ya Wazazi  Ngazi ya Taifa,mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Februari  22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A0499 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania,Abdallah Majura Bulembo  (kulia)  na Makamu wake  Dogo Idd Mabrouk (Wapili kushoto) na Mjumbe wa Kamati yaUtekelezaji ya Jumuiya hiyo,Mohammed Sif Khatib (wapili kulia) kutoka kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya  Taifa ya CCM mjini Dodoma baada ya kufungua semina  viongozi na  watendaji  wa Jumuiya  ya Wazazi  Ngazi ya Taifa,mikoa na Wilaya nchini ,Februari  22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A0514 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizuzungumza na  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Abdallah Majura Bulembo  (kulia)  na Makamu wake  Dogo Idd Mabrouk  (Wapili kushoto) na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya hiyo, Mohammed Seif Khatib (wapili kulia)  baada ya kufungua semina  viongozi na  watendaji  wa Jumuiya  ya Wazazi  Ngazi ya Taifa,mikoa na Wilaya nchini , kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Februari  22, 2014. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya hiyo Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments: