Sunday, 23 February 2014

LIGI KUU ENGLAND: ANGALIA RVP, ROONEY ALIVYO IPA USHINDI MAN UNITED!

>>UNITED WAPANDA NAFASI 1 JUU!!

article-0-1BBEDD1400000578-762_634x434
Robin va Persie na Wayne Rooney jana waliiongoza Manchester United kupata ushindi baada ya takribani mechi 3 bila ushindi.
MATOKEO:
Jumamosi Februari 22
Chelsea 1 Everton 0
Arsenal 4 Sunderland 1
Cardiff 0 Hull 4
Man City 1 Stoke 0
West Brom 1 Fulham 1
West Ham 3 Southampton 1
Crystal Palace 0 Man United 2

 WAKICHEZA Ugenini huko Selhurst Park kwenye Mechi ya Ligi Kuu England na Timu ngumu ya Crystal Palace, Mabingwa Watetezi wa England, Manchester United, walishinda Bao 2-0 na kujikongoja Nafasi moja juu na sasa kukamata Nafasi ya 6.
Hadi Mapumziko Mabao yalikuwa 0-0.
Kipindi cha Pili, katika Dakika ya 62, Robin van Persie aliipatia Man United Bao la Kwanza kwa Penati iliyotolewa na Refa Michael Oliver baada Patrice Evra kuangushwa ndani ya Boksi na Marouanne Chamakh.
Bao la Pili lilifungwa Dakika ya 68 kifundi na Wayne Rooney baada ya kupokea pasi safi toka kwa Evra.
Mechi inayofuata kwa Man United ni huko Ugiriki hapo Jumanne Usiku watakapocheza na Olympiacos katika Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONZ LIGI.
VIKOSI:
CRYSTAL PALACE: Speroni; Ward, Dann, Delaney, Parr; Puncheon, Jedinak, Ledley, Ince; Chamakh, Murray.
Akiba: Bolasie, Dikgacoi, Gayle, Gabbidon, Hennessey, Jerome, Bannan.
MAN UNITED: De Gea; Smalling, Vidic, Ferdinand, Evra; Carrick, Fellaini; Mata, Rooney, Januzaj; van Persie.
Akiba: indegaard, Valencia, Fletcher, Giggs, Kagawa, Young, Hernandez.
REFA: Michael Oliver

LIGI KUU ENGLAND
RATIBA MECHI ZIJAZO:
[Saa za Bongo]
Jumapili Februari 23
1630 Liverpool v Swansea
1630 Newcastle v Aston Villa
1900 Norwich v Tottenham
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Chelsea
27
28
60
2
Arsenal
27
25
59
3
Man City
26
42
57
4
Liverpool
26
34
53
5
Tottenham
26
4
50
6
Man Utd
27
12
45
7
Everton
26
10
45
8
Southampton
27
6
39
9
Newcastle
26
-6
37
10
West Ham
27
-3
31
11
Hull
27
-2
30
12
Swansea
26
-3
28
13
Aston Villa
26
-9
28
14
Stoke
27
-15
27
15
Crystal Palace
26
-18
26
16
West Brom
27
-8
25
17
Norwich
26
-20
25
18
Sunderland
26
-16
24
19
Cardiff
27
-29
22
20
Fulham
27
-32
21

0 comments: