Raila Odinga kiongozi wa chama cha ODM nchini Kenya.
Chama cha siasa nchini Kenya, ODM,
jana kikianza mkutano wake mkuu wa siku mbili ambao pamoja na mambo
mengine utafanikisha kupatikana kwa safu mpya ya uongozi wa chama hicho
baada ya uchaguzi wa leo.
Mkutano huo uliwakutanisha viongozi na
wanachama wa chama hicho kutoka maeneo mbalimbali ya taifa hilo. Hamisi
Rachuri niongozi wa vijana wa ODM jimbo la Kwale na Sudi Mnette kwanza
alitaka kujua matumaini yake katika mkutano huu.Kusikiliza mazungumzo
bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Chanzo, dw.de/Swahili
0 comments:
Post a Comment