Sunday, 23 February 2014

BPL: ARSENAL YA ISHINDA BAO 4-0 DHIDI YA SUNDERLAND , MAN CITY YAICHAPA STOKE CITY BAO 1-0

RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Februari 22
Chelsea 1 Everton 0
Arsenal 4 Sunderland 1
Cardiff 0 Hull 4
Man City 1 Stoke 0
West Brom 1 Fulham 1
West Ham 3 Southampton 1
[Saa za Bongo]
2030 Crystal Palace v Man United

ARSENAL 4 SUNDERLAND 1
BPL2013LOGOBao za Olivier Giroud, Bao 2, Tomas Rosicky na Laurent Koscielny zimewapa Arsenal ushindi wa Bao 4-1 walipocheza na Sunderland Uwanjani Emirates.
Bao pekee la Sunderland lilifungwa na Emanuele Giaccherini.
Ushindi huu umewafanya Arsenal waendelee kukamata Nafasi ya Pili kwenye Ligi Kuu England wakiwa Pointi 1 nyuma ya Chelsea ambao Leo waliifunga Everton Bao 1-0.
VIKOSI:
ARSENAL: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Arteta, Wilshere, Cazorla, Rosicky, Podolski, Giroud
Akiba: Oxlade-Chamberlain, Flamini, Fabianski, Sanogo, Bendtner, Jenkinson, Gnabry.
SUNDERLAND: Mannone, Bardsley, Vergini, O'Shea, Alonso, Bridcutt, Ki, Colback, Johnson, Altidore, Borini
Akiba: Larsson, Gardner, Celustka, Giaccherini, Cuellar, Scocco, Ustari.
Refa: Andre Marriner
MANCHESTER CITY 1 STOKE CITY 0
Bao la Dakika ya 70 la Yaya Toure alieunganisha Krosi ya Aleksandar Kolarov limewapa Man City ushindi wa Bao 1-0 dhidi ya Stoke City iliyopigana kiume.
City wamebaki Nafasi ya Tatu nyuma ya Arsenal na Chelsea.
VIKOSI:
MAN CITY: Hart, Zabaleta, Kompany, Demichelis, Kolarov, Silva, Fernandinho, Toure, Nasri, Dzeko, Negredo
Akiba: Lescott, Milner, Javi Garcia, Jesus Navas, Clichy, Pantilimon, Jovetic.
STOKE CITY: Begovic, Cameron, Shawcross, Wilson, Pieters, Whelan, Adam, Walters, Arnautovic, Odemwingie, Crouch
Akiba: Muniesa, Palacios, Nzonzi, Etherington, Wilkinson, Sorensen, Ireland.
Refa: Chris Foy
WEST BROM 1 FULHAM 1
West Brom Leo wamesawazisha Bao katika Dakika ya 86 na Bao hilo kuashiriwa ni Goli kwa kutumia Mfumo wa Elektroniki wa GDS, Goal Decision System, baada ya Mchezaji alietoka Benchi Matej Vydra kupiga na Kipa Maarten Stekelenburg kuokoa na Mpira kuvuka Mstari na Wachezaji kuendelea kucheza lakini Refa Mike Dean aliashiria ni Goli baada ya GDS kumstua.
Fulham, wakicheza Mechi ya kwanza chini ya Meneja mpya, Felix Magath, walitangulia kufunga katika Dakika ya 28 kwa Bao la Ashkan Dejagah
VIKOSI:
WEST BROM: Foster, Billy Jones, McAuley, Olsson, Ridgewell, Amalfitano, Morrison, Mulumbu, Brunt, Berahino, Thievy
Akiba: Sinclair, Myhill, Anichebe, Dorrans, Vydra, Gera, Dawson.
FULHAM: Stekelenburg, Riether, Heitinga, Hangeland, Amorebieta, Dejagah, Parker, Sidwell, Richardson, Holtby, Rodallega
Akiba: Riise, Kvist Jorgensen, Kasami, Stockdale, Mitroglou, Burn, Tankovic.
Refa: Mike Dean
WEST HAM 3 SOUTHAMPTON 1
West Ham walitoka nyuma kwa Bao la Yoshida lakini wakaibuka na kutandika Bao 3 kupitia Martin Jarvis, Carlton Cole na Kevin Nolan na kuitandika Southampton Bao 3-1.
Huu ni ushindi wa nne mfululizo kwa West Ham.
VIKOSI:
WEST HAM: Adrian, Demel, Collins, Tomkins, McCartney, Noble, Taylor, Downing, Nolan, Jarvis, Carlton Cole
Akiba: Reid, Armero, Collison, Diame, Jaaskelainen, Joe Cole, Nocerino.
SOUTHAMPTON: Boruc, Chambers, Yoshida, Fonte, Shaw, Schneiderlin, Cork, Rodriguez, Steven Davis, Lallana, Lambert
Akiba: Kelvin Davis, Clyne, Lovren, Ramirez, Ward-Prowse, Do Prado, Gallagher.
Refa: Mark Clattenburg
CARDIFF CITY 0 HULL CITY 4
Hull City, wakicheza Ugenini, wameitandika Cardiff City Bao 4-0 kwa Bao za Tom Huddlestone, Dakika ya 18, Jelavic Dakika ya 38 na 57, na Livermore, Dakika ya 67.
VIKOSI:
CARDIFF CITY: Marshall, Da Silva, Caulker, Cala, Taylor, Zaha, Cowie, Eikrem, Noone, Campbell, Jones
Akiba: Turner, Whittingham, Gunnarsson, Daehli, Lewis, Berget, John.
HULL CITY: McGregor, Rosenior, Bruce, Davies, Figueroa, Elmohamady, Livermore, Huddlestone, Meyler, Jelavic, Long
Akiba: Chester, Koren, Boyd, Sagbo, Harper, Aluko, Quinn.
Refa: Howard Webb

LIGI KUU ENGLAND
RATIBA MECHI ZIJAZO:
[Saa za Bongo]
Jumapili Februari 23
1630 Liverpool v Swansea
1630 Newcastle v Aston Villa
1900 Norwich v Tottenham
MSIMAMO:
TIMU P GD PTS
Chelsea 27 28 60
Arsenal 27 25 59
Man City 26 42 57
Liverpool 26 34 53
Tottenham 26 4 50
Everton 26 10 45
Man Utd 26 10 42
Southampton 27 6 39
Newcastle 26 -6 37
West Ham 27 -3 31
Hull 27 -2 30
Swansea 26 -3 28
Aston Villa 26 -9 28
Stoke 27 -15 27
Crystal Palace 25 -16 26
West Brom 27 -8 25
Norwich 26 -20 25
Sunderland 26 -16 24
Cardiff 27 -29 22
Fulham 27 -32 21

0 comments: