Monday, 24 February 2014

DK.SHEIN AWAANDALIA CHAKULA WATOTO WALIOCHEZA HALAIKI MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akisalimiana na mratibu wa Halaiki Maalim Suleiman Saleh Juma,wakati alipowasili katika viwanja vya Beit el Ras katika hafla ya chakula cha mchana alichowaandalia watoto waliocheza halaiki katika Sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman ,Ikulku.]
TA1A5230 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,(kushoto) Waziri wa Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,(kulia) akifuatiwa na  Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Bi Mwanaidi Abdalla,wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa watoto waliocheza halaiki katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman ,Ikulku.] TA1A5256 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein akichukua chakula wakati alipowakaribisha watoto waliocheza halaiki katika sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,kuho viwanja vya Beit el Ras nje kidogo ya Mjini wa Unguja. [Picha na Ramadhan Othman ,Ikulku.] TA1A5262 
Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi, akiwa na katika    hafla ya Chakula cha mchana  kilichowaandaliwa  kwa Watoto haocheza halaiki na  kufanikisha  sherehe hizo za  miaka 50 ya Mapinduzi  ya Zanzibar katika kilele kilichofanyika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja tarehe 12 jan 2014, wakiwepo viongozi wengine.     [Picha na Ramadhan Othman ,Ikulku.] TA1A5266 
Baadhi ya Watoto waliocheza halaiki wakichukua chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Sheinkatika viwanja vya Beit El Ras leo mchana kwa kufanikisha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kilele kilichofanyika Uwanja wa Amaani Mjini Unguja tarehe 12 jan 2014.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A5295 
Baadhi ya Watoto waliocheza halaiki wakichukua chakula walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Sheinkatika viwanja vya Beit El Ras leo mchana kwa kufanikisha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kilele kilichofanyika Uwanja wa Amaani Mjini Unguja tarehe 12 jan 2014.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] TA1A5346 
Walimu wa Mchezo wa halaiki Zanzibar wakiwa katika hafla ya chakula cha Mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein  katika viwanja vya Beit el Ras,kwa watoto waliocheza  halaiki katika sherehe za  miaka 50 ya Mapinduzi  ya Zanzibar katika kilele kilichofanyika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja tarehe 12 jan 2014.[Picha na Ramadhan Othman ,Ikulku.]

0 comments: