Sunday, 23 February 2014

CHADEMA WAANZA KAMPENI ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KALENGA

 
makumbusho_a0aac.jpg
Viongozi na wanachama wa CHADEMA wakielekea kwenye makumbusho ya Chifu mkwawa kabla ya kuanza kampeni hizo
mvua_6aa63.jpg
Hapa wakitoka kwenye Makumbusho ya Chifu Mkwawa huku hali ya hewa ikiwa ni ya ubishi kutokana na mvua kubwa kunyesha
kumnadii_f8eb3.jpg
Mgombea wa Ubunge kupitia chama cha CHADEMA akinadiwa na Katibu mkuu wa chama hicho Dr. W. Slaa wakati wa kampeni hizo zilizoanza hii leo katika jimbo la Kalenga

0 comments: