Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi
na Mzee Benjmin William Mkapa baada ya kuwasili katika hafla ya harambee
ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake
katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/
zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/- zilipatikana katika
harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi Fabruari 22, 2014 katika
hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na Marais wastaafu
Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjmin William Mkapa katika hafla ya
harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto pamoja na
vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya kiasi cha
shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi
Fabruari 22, 2014 katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam. Mkurugenzi
wa Radio One Bw. Deo Rweyunga akitangaza mchango wa mwenyekiti wa
makampuni ya IPP Dr. Reginald Mengi kiasi cha shilingi milioni 100
katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa
watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Kati ya kiasi cha shilingi bilioni moja zilizohitajika, jumla ya
shilingi 602,080,000/- zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika
usiku wa Jumamosi Fabruari 22, 2014 katika hoteli ya Golden Tulip jijini
Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru mwakilishi wa UNICEF nchini kwa
mchango wa dola za kimarekani 100,000 huku Marais wastaafu Alhaj Ali
Hassan Mwinyi na Mzee Benjmin William Mkapa wakishuhudia katika hafla
ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto pamoja na
vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya kiasi cha
shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi
Fabruari 22, 2014 katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru mwakilishi wa NSSF Bw. Juma Kintu kwa
mchango wa mfuko huo katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa
wodi ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya
Taifa ya Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika,
jumla ya shilingi 602,080,000/- zilipatikana katika harambee hiyo
iliyofanyika usiku wa Jumamosi Fabruari 22, 2014 katika hoteli ya Golden
Tulip jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea mfano wa hundi ya shilingi milioni
10 toka kwa wawakilishi wa PPF ukiwa mchango wa mfuko huo katika
hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto
pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya
kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi
Fabruari 22, 2014 katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam.
Rais
mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa akimshukuru mwakilishi wa taasisi
ya WAMA Bi. Caroline Mthapula kwa mchango wa taasisi hiyo katika
hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto
pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya
kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/-
zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi
Fabruari 22, 2014 katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Bi Lucy Kimei kwa kuwasilisha
shilingi milioni tatu kama mchango wa familia ya Mkurugenzi Mtendaji wa
CRDB Dkt Charles Kimei katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi
wa wodi ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake katika hospitali ya
Taifa ya Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/ zilizohitajika,
jumla ya shilingi 602,080,000/- zilipatikana katika harambee hiyo
iliyofanyika usiku wa Jumamosi Fabruari 22, 2014 katika hoteli ya Golden
Tulip jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru Bw. Lumbila Fyataga, mwakilishi wa
Ofisi ya Rais, Ikulu, kwa mchango wa kununua kifaa cha kuwapa joto
watoto wachanga (Infant radiation warmer) katika hafla ya harambee ya
kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa watoto pamoja na vifaa vyake
katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kati ya kiasi cha shilingi 1bn/
zilizohitajika, jumla ya shilingi 602,080,000/- zilipatikana katika
harambee hiyo iliyofanyika usiku wa Jumamosi Fabruari 22, 2014 katika
hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment