BALOZI WA FINLAND TANZANIA AKABIDHI VYETI KWA WAHITIMU WA MAFUNZO YA (TEHAMA) JIJINI DAR ES SALAAM
Mkuu
wa Idara Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano TTCL Bw, Adini Mgendi
akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Balozi wa
Finland Tanzania, Sikka Antila, wakati wa hafla ya kukabidhi Stashahada
ya Udhamini katika Uongozi wa Tekenolojia ya Habari na mawasiliano
(TEHAMA),kwa wahitimu wa mafunzo hayo (kulia), Mkuu wa Mafunzo Global
e-Schools Community Inihative, Hellen Tapper (kushoto), Balozi wa
Finland Tanzania Sikka Antila.Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya New
Afrika jijini Dar es Salaam Februari 27, 2014.
Balozi
wa Finland Tanzania, Sikka Antila, akisoma hotuba yake wakati wa
hafla ya kukabidhi Stashahada ya Udhamini katika Uongozi wa Tekenolojia
ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), kulia Mkuu wa Idara Mkongo wa Taifa
wa Mawasiliano TTCL Bw, Adini Mgendi
Balozi
wa Finland Tanzania, Sikka Antila (kushoto), akimkabidhi Mkuu wa Idara
Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano TTCL Bw, Adini Mgendi cheti cha mafunzo
hayo. Baadhi
ya waitimu wa mafuno ya stashahada ya udhamini katika uongozi wa
Tekenolojia ya Habari na mawasiliano (TEHAMA) wakimsikiliza kwa umakini
Balozi wa Finland Tanzania Sikka Antila akisoma hotuba yake.
Balozi wa Finland Tanzania Sikka Antila akiwa kwenye picha ya pamoja na waitimu wa mafunzo hayo mara baada ya kuwakabidhi.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA DAR ES SALAAM
0 comments:
Post a Comment