Sunday, 23 February 2014

SPIKA WA BUNGE AFUNGUA SEMINA KUWAELIMISHA WAJUMBE WA KATIBA KUHUSU HAKI ZA WANAWAKE

 kuingizwa kwenye rasimu ya Katiba mpya.

 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Suzan Lyimo(kulia) wakibadlishana mawazo jana mjini Dodoma wakati wa semina kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba inaliyoandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform yenye lengo la kuwaelimisha juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya. 2Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Anna Abdallah (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba jana mjini Dodoma juu ya umuhimu wa kuwa kitu kimoja katika kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya kwenye mkutano huo. Wengine katika picha ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda(katikati) na Makamu Mwenyekiti wa Wabunge wanawake Suzan Lyimo(kulia) annMwenyekiti wa Wabunge wanawake Anna Abdallah akimkaribisha Spika wa Bunge la Jamhuri Anne Makinda kufungua semina jana mjini Dodoma kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba inaliyoandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform yenye lengo la kuwaelimisha juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya. doroth 
Spika wa Bunge la Jamhuri Anne Makinda akifungua semina jana mjini Dodoma kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba inaliyoandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform yenye lengo la kuwaelimisha juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya. spikac 
Spika wa Bunge la Jamhuri Anne Makinda akifungua semina jana mjini Dodoma kwa wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba inaliyoandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform yenye lengo la kuwaelimisha juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya. veroMmoja wa Wajumbe wanawake wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba anayewakilisha wakulima wadogo Veronica Sophu akisititiza umuhimu wa kuwepo na usawa kwa wakulima wakati wa mjadala jana mjini Dodoma uliandaliwa na Tanzania Women Cross Party Platform kwa lengo la kuwaelimisha wanawake wajumbe juu ya kutetea haki za wanawake kuingizwa katika rasimu ya Katiba mpya.

0 comments: