HOME »
» RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MISRI NABIL FAHMY
|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Misri Mhe. Nabil Fahmy na ujumbe wake walipomtembelea Jumamosi Februari
22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es Salaam. (picha: Ikulu) |
Mhe. Fahmy amefanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano
kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji
na siasa.
|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri
Mhe. Nabil Fahmy alipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni Ikulu
jijini Dar es Salaam. |
|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipookea ujumbe toka kwa Waziri wa Mambo ya Nje
wa Misri Mhe. Nabil Fahmy alipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013
jioni Ikulu jijini Dar es Salaa |
0 comments:
Post a Comment