Hii
ni Taarifa kutoka Mkoani Singida ambapo Habari zilizotoka zinahusisha
ajali iliyohusisha Basi la Bunda Bus lililokuwa likitokea Dodoma kwenda
Mwanza asubuhi ya February 28 limegongana na Treni Eneo la Manyoni
mkoani Singida.
Chanzo
cha ajali hiyo hakijajulikana ingawa inawezekana ni sababu ya Bus hilo
kuingia njia ya treni,mpaka sasa idadi kamili ya majeruhi na
waliopoteza maisha bado haijatangazwa,MTANDAO HUU bado inafatilia
chanzo cha ajali hii.
0 comments:
Post a Comment