Sunday, 23 February 2014

SIMBA ACHEZEA KICHAPO KUTOKA JKT RUVU BAO 3-2 NA AZAM FC WATOA DROO YA 2-2 NA TZ PRISONS

DSC_1384
Hamisi tambwe akishangilia gori baada ya kufunga bao la 2

BOCCO_5e151.jpg
Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco 'Adebayor' akimtoka beki wa Prisons, Salum Kimenya jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Timu hizo zilitoka 2-2.
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam

SIMBA SC imelambwa mabao 3-2 na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, wakati Azam FC imelazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Prisons ya Mbeya Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

Jumatano Februari 26
Azam FC v Ashanti United
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
GD
PTS
1
Yanga SC
17
11
5
1
29
38
2
Azam FC
17
10
7
0
19
37
3
Mbeya City
19
9
8
2
8
35
4
Simba SC
19
8
8
3
16
32
5
Kagera Sugar
19
6
8
5
1
26
6
Coastal Union
19
5
10
4
5
25
7
Mtibwa Sugar
19
6
7
6
0
25
8
Ruvu Shooting
18
6
7
5
-4
25
9
JKT Ruvu
19
7
1
11
-13
22
10
Prisons FC
17
3
8
6
-3
17
11
Mgambo JKT
19
4
5
10
-17
17
12
Ashanti United
18
3
5
10
-15
14
13
JKT Oljoro
19
2
8
9
-15
14
14
Rhino Rangers
19
2
7
10
-11
13

0 comments: