Saturday, 1 February 2014

HII NDIO ZIARA YA RAIS DK SHEIN NCHINI INDIA TUPO LIVE TUTA KUPA MATUKIO YANAYO ENDELEA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Ujumbe wake wakiongozana na Balozi wa Tanzania Nchini India John W.H.Kijazi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa  Indra Gandhi,Rais atakua nchini India kwa ziara rasmi ya siku tisa.[Picha na Ramadhan Othman India.]
TA1A1390 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na akizungumza na Balozi wa India nchini Tanzania  Debnath Shaw katika ukumbi wa VIP wa  uwanja wa ndege wa Kimataifa wa  Indra Gandhi Nchini India Rais akiwa huko atatembelea sehemu mbali mbali ikiwa ni katika kukuza Uhusiano na mashirikiano ya kiuchumi na Kijamii.[Picha na Ramadhan Othman India.] TA1A1392Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiwa na Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana Wanawake na Watoto,Bi Zainab Omar,wakiwa katika ukumbi wa VIP wa  uwanja wa ndege wa Kimataifa wa  Indra Gandhi Nchini India Ujumbe wa Rais Dk.Shein, utatembelea sehemu mbali mbali ikiwa ni katika kukuza Uhusiano na mashirikiano ya kiuchumi na Kijamii.[Picha na Ramadhan Othman India.] TA1A1393 
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mahadhi Juma Maalim,ni miongozi mwa ujumbe wa Rais wa Zanzibar katika safari rasmi nchini india,hapa wakiwa katika ukumbi wa VIP wa  uwanja wa ndege wa Kimataifa wa  Indra Gandhi Nchini India ambapo  utatembelea sehemu mbali mbali ikiwa ni katika kukuza Uhusiano na mashirikiano ya kiuchumi na Kijamii.[Picha na Ramadhan Othman India.]
TA1A1415 TA1A1440 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wa walikaribishwa kwa ngoma za asili mara baada ya kufika katika hoteli ya Oberoi Taj Vilas,katika jimbo la Rajastani Nchini India Rais akiwa huko atatembelea sehemu mbali mbali ikiwa ni katika kukuza Uhusiano na mashirikiano ya kiuchumi na Kijamii.[Picha na Ramadhan Othman India.]
TA1A1501 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  na ujumbe aliofuatana nao wakipata maelezo kutoka kwa Kiongozi Panraj Dharendra,katika Sehemu ya Historia inayoitwa Amber,wakati alipotembelea sehemum hiyo maarufu katikan jimbo la Rajastan Nchini India,akiwa huko Rais atatembelea Taasisi mbali mbali  ikiwa ni katika kukuza Uhusiano na mashirikiano ya kiuchumi na Kijamii.[Picha na Ramadhan Othman India.] TA1A1546 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  na ujumbe aliofuatana nao wakipata maelezo kutoka kwa Kiongozi Panraj Dharendra,katika Sehemu ya Historia inayoitwa Amber,wakati alipotembelea sehemu  hiyo maarufu katikan jimbo la Rajastan Nchini India,akiwa huko Rais atatembelea Taasisi mbali mbali  ikiwa ni katika kukuza Uhusiano na mashirikiano ya kiuchumi na Kijamii.[Picha na Ramadhan Othman India.] TA1A1627 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akitia saini kitabu cha wageni wanaotembela  Sehemu ya Historia inayoitwa Amber, maarufu katika jimbo la Rajastan Nchini India,RAIS akiwa huko  atatembelea Taasisi mbali mbali  ikiwa ni katika kukuza Uhusiano na mashirikiano ya kiuchumi na Kijamii.[Picha na Ramadhan Othman India.]

0 comments: